Naitwa Hafidhi Mitambo ni mkufunzi wa Graphics Design, Video Editing, Website Design na Motion Design kwa lugha ya kiswahili, nina uzoefu wa takribani miaka 10 kwenye tasnia hii ya design na nimeshafundisha wanafunzi wengi sana ambao wanajisimamia wenyewe kwa sasa katika maeneo mbalimbali. Ninatoa mafunzo kwa watu wanaoanza kujifunza lakini hata wale ambao tayari wana ujuzi kiasi wanataka kuongeza ujuzi zaidi katika tasnia ya Designing. Karibu sana.