Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Jifunze Website Design full Course

Jifunze Website Design full Course

Mafunzo Ya Website Design
Created byMitambo Hafidhi
Last updated 4/2024
Swahili

What you'll learn

  • Jinsi ya kulipia na kusajili Domain (Jina la website yako)
  • Jinsi ya kulipia hosting (Kurusha website hewani)
  • Jinsi ya kufanya installation ya WordPress (Content management system)
  • Jinsi ya kufungua business emails (zenye jina la webiste n.k)
  • Jinsi ya Kuinstall plugins muhimu kwenye website
  • Jinsi ya kuanza kufanya designing ya website yako
  • Kuchagua Themes nzuri na zenye ku-support website yako
  • Kufanya Customization ya website yako
  • Na vitu vingine muhimu kwenye Website design.

Course content

2 sections • 32 lectures • 7h 51m total length
  • Mwongozo wa Website course1:25

Requirements

  • Hakuna ujuzi wowote wa awali unaohitajika kuujua
  • Hauitajiki kujua lugha yoyote ya kompyuta ili kujifunza
  • Unahitajika uwe na kompyuta na smartphone tu ili kujifunza
  • Kila kitu unapatiwa ili kukuwezesha kujifunza kwa urahisi

Description

Karibu katika mafunzo Website Design kwa kutumia WordPress. Ni content management system inayotumika kufanya designing za website mbalimbali kuuanzia za utalii, mafunzo,E-commerce, taasisi, makampuni n.k katika mafunzo haya utajifunza jinsi kuanza kudesign website kuanzia mwanzo kabisa yaani kusajili jina, kulipia huduma za kurusha website hewani, kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing ya muonekano wa website yako kwa ndani n.k. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza, hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka . Pia wakati unajifunza unatakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi ukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Na kizuri zaidi nimeufidnisha katika muundo ambao tunaangalia website tulizotengeneza na sisi tunafanya designing tena ili iwe rahisi zaidi kugusa maeneo yote muhimu kwenye website design. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design sasa.


Who this course is for:

  • Kozi hii ni kwaajili ya mtu yeyote anaehitaji kujifunza Website design kwaajili ya kudesign website zake binafsi au za watu wengine.