Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop)

Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop)

Mafunzo Ya Graphics Design
Created byMitambo Hafidhi
Last updated 4/2024
Swahili

What you'll learn

  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kutumia Adobe Photoshop
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kutumia tools za Photoshop
  • Mwanafunzi atajifunza misingi ya Graphics design kwenye Photosho
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign flyers
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign posters
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kudesign business cards n.k

Course content

2 sections • 40 lectures • 10h 10m total length
  • 00. Mwongozo wa mafunzo1:17

Requirements

  • Hakuna ujuzi wowote wa awali unaohitajika kujifunza kozi hii
  • Ujue kusoma na kuandika lugha ya kiswahili

Description

Karibu katika mafunzo Graaphics Design kwa kutumia programu ya Adobe Photoshop. Ni programu inayotumika kufanya Photo Editing na Graphics design. Katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe Photoshop kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile posters design, business cards design, Brochure design, Flyers design, n.k utapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uweze kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design sasa.


Who this course is for:

  • Kozi hii ni kwaajili ya mtu yeyote anaehitaji kujifunza Adobe Photoshop na Graphics design kwaajili ya kudesign Posters, Business cards, vipeperushi n.k