Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Jifunze Canva Design

Jifunze Canva Design

Mafunzo Ya Graphics Design na Video Editing kwa Canva
Created byMitambo Hafidhi
Last updated 4/2024
Swahili

What you'll learn

  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia program ya Canva
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia tools
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuandaa documents za Canva
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuedit templates
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kuedit Videos
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuanza kufanya designing za Business cards, flyers posters, invitation cards .k
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kumaster Shapes

Course content

2 sections • 23 lectures • 4h 42m total length
  • 00. Muongozo wa mafunzo1:43
  • Mwongozo wa mafunzo3:26

Requirements

  • Hauitaji ujuzi wa wowote kusoma kozi hii. Utafundishwa kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho
  • Unahitaji kuwa na Kompyuta (Desktop au Laptop

Description

Karibu katika mafunzo Graphics Design & Video Editing kwa kutumia programu ya Canva. Ni programu inayotumika kufanya Designing na editing za videos na picha mbalimbali. Katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia Program ya canva, kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile posters design, business cards design, invitation cards design, Flyers design, n.k uatapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uwe kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design sasa.


Who this course is for:

  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza Canva kufanya design, Kuanzia Beginner hadi Advanced level