Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Jifunze Adobe InDesign full Course

Jifunze Adobe InDesign full Course

Mafunzo Ya Layout Design (Adobe InDesign)
Created byMitambo Hafidhi
Last updated 4/2024
Swahili

What you'll learn

  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia program ya adobe InDesign
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia tools za Adobe InDesign
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuandaa documents za Adobe InDesign
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuandaa cover za Vitabu
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kupanga pages za Vitabu
  • Mwanafunzi Atajifunza jinsi ya kuandaa vipeperushi
  • Mwanafunzi Atajifunza jinsi ya kuandaa vipeperushi Mkunjo
  • Mwanafunzi Atajifunza jinsi ya kuandaa Machapisho mbalimbali

Course content

2 sections • 34 lectures • 6h 0m total length
  • Mwongozo1:24

Requirements

  • Hauitaji ujuzi wa wowote kusoma kozi hii. Utafundishwa kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho
  • Unahitaji uwe na kompyuta (Desktop au Laptop)

Description

Karibu katika mafunzo Layout Design kwa kutumia programu ya Adobe InDesign. Ni programu inayotumika kufanya design za pande zaidi ya moja kama vile magazeti, kalenda, vipeperushi mkunjo, vitabu, majarida, n.k katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe InDesign kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile brochure/vipeperushi mkunjo, Vitabu, kava za vitabu, n.k utapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uwe kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design/Layout designer sasa.


Who this course is for:

  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza Adobe Indesign beginner Kuanzia Beginner hadi Advanced level