Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Jifunze Adobe Illustrator full Course

Jifunze Adobe Illustrator full Course

Mafunzo ya Adobe Illustrator
Created byMitambo Hafidhi
Last updated 3/2024
Swahili

What you'll learn

  • Mwanafunzi ataweza Kujua jinsi ya kutumia programu ya Adobe Illustrator
  • Mwanafunzi ataweza Kujua jinsi ya kutumia tools kwenye Adobe illustrator
  • Mwanafunzi ataweza Kujua jinsi ya kuanza kufanya designing
  • Mwanafunzi ataweza Kujua jinsi ya kudesign mabango
  • Mwanafunzi ataweza Kujua Jinsi ya kudesign kadi za biashara
  • Mwanafunzi ataweza kujua Jinsi ya kudesign Vipeperushi
  • Mwanafunzi ataweza kujua kudesign Logo/nembo
  • Mwanafunzi ataweza kujua kudesign wasifu wa makampuni
  • Mwanafunzi ataweza kujua Kudesign Banners n.k

Course content

3 sections • 55 lectures • 15h 44m total length
  • Mwongozo1:48

Requirements

  • Hauitaji ujuzi wa wowote kusoma kozi hii. Utafundishwa kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho
  • Unatakiwa uwe na kompyuta (Laptop au Desktop)

Description

Karibu katika mafunzo Graaphics Design kwa kutumia programu ya Adobe iluustrator. Ni programu inayotumika kufanya vector illustration mbalimbali na Graphics design, katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe Illustrator kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile logo design, posters design, business cards design, company profile design, Flyers design, n.k uatapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uwe kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design sasa.


Who this course is for:

  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza Adobe illustrator Kuanzia Mwanzo hadi mwisho wa kozi hii.
  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza kudesign nembo za biashara/makampuni mbalimbali
  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza kudesign Mabango
  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza kudesign Vipeperushi n.k