Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Jifunze Adobe After Effects full Course

Jifunze Adobe After Effects full Course

Mafunzo Ya Motion Design (Adobe After Effects)
Created byMitambo Hafidhi
Last updated 4/2024
Swahili

What you'll learn

  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutumia programu ya Adobe After Effects
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kufanya animations
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kutengeneza 3Ds
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuandaa videos ya Adobe After Effects
  • Mwanafunzi atajifunza jinsi ya kuandaa video za matangazo n.k

Course content

2 sections • 43 lectures • 10h 38m total length
  • Introduction1:11

Requirements

  • Hauitaji ujuzi wa wowote kusoma kozi hii. Utafundishwa kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho
  • Unahitajika kuwa na kompyuta na Smartphone

Description

Karibu katika mafunzo Motion Design kwa kutumia programu ya Adobe After Effects. Ni programu inayotumika kufanya Logo animation, Motion Graphics, Into na Opener za Videos, Lowerthird, matangazo mafupi ya videos, 3D Videos n.k. Katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe After effects kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya animations mbalimbali hatua kwa hatua mpaka unamaster, kutengeneza matangazo ya videos, Motion tracking, Audio spectrum n.k pia utapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uwe kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya motion design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.

Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Motion designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Motion design sasa.


Who this course is for:

  • Mtu yeyote anaetaka kujifunza Adobe beginner Kuanzia Beginner hadi Advanced level