Udemy
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
    •  
Turn what you know into an opportunity and reach millions around the world.
Learn More
Your cart is empty.
Keep shopping
Tengeneza Website kwa HTML na CSS (Intro to Web Development)
Rating: 5.0 out of 5(6 ratings)
9 students

Tengeneza Website kwa HTML na CSS (Intro to Web Development)

Jifunze jinsi ya kutengeneza website kwa HTML na CSS (Learn how to build websites and web pages using HTML and CSS)
Created byNia Lab
Last updated 2/2025
Swahili

What you'll learn

  • Uwezo wa kutengeneza website nzuri yenye viwango kwa kutumia HTML (The ability to create well-structured web pages using HTML)
  • Ujuzi wa kupodoa na kuremba website yako kwa kutumia CSS (Skills to style and design websites using CSS)
  • Uwezo wa kutengeneza website ambayo itaonekana vizuri kwenye kifaa chochote mfano simu, tablet na kompyuta (Knowledge of responsive design)
  • Uwezo wa kufanya website yako ionekana Dunia nzima (How to host your website online)
  • Kujiamini katika kutengeneza website kuanzia mwanzo hadi mwisho. (Build real-world websites from scratch confidently)

Course content

5 sections • 48 lectures • 7h 22m total length
  • Karibu tujifunze pamoja1:59

Requirements

  • Ujue tu kutumia kompyuta, inatosha. (No coding experience needed. You will learn everything with us)

Description

Course Title:

Tengeneza Website kwa HTML na CSS (Intro to Web Development)

Course Description:
Jifunze jinsi ya kutengeneza website kwa  HTML na CSS (Learn how to build websites and web pages using HTML and CSS).

Kozi hii inalenga kufundisha jinsi ya ketengeneza website na webpages za website kwa kutumia HTML (Hypertext Markup Language) na CSS (Cascading Style Sheets). Wasomaji watapata ujuzi wa msingi na maarifa ya kina ya jinsi ya kutumia HTML na CSS kutengeneza website zenye muundo mzuri na design ya kuvutia.

Utajifunza kwa vitendo:

  • Kutengeneza website (tovuti) nzuri

  • Kufanya quiz ndogo ndogo za kuongeza ujuzi

  • Kuiweka website yako ionekane Dunia nzima

Baada ya kujifunza utakuwa na uwezo gani? (What will you gain?)

  • Uwezo wa kutengeneza website nzuri yenye viwango kwa kutumia HTML (The ability to create well-structured web pages using HTML)

  • Ujuzi wa kupodoa na kuremba website yako kwa kutumia CSS (Skills to style and design websites using CSS)

  • Uwezo wa kutengeneza website ambayo itaonekana vizuri kwenye kifaa chochote mfano simu, tablet na kompyuta (Knowledge of responsive design to make websites look great on all devices)

  • Uwezo wa kufanya website yako ionekana Dunia nzima (How to host your website online)

  • Kutumia tools na teknolojia mbali mbali za kutengeneza na kuhifadhi website (How to use GitHub for storing source code)

  • Kujiamini katika kutengeneza website kuanzia mwanzo hadi mwisho. (Build real-world websites from scratch confidently)

Haina haja ya kuwa na ujuzi wowote wa ziada zaidi ya kujua kutumia kompyuta!

No prior experience at all? No problem! This course is designed for both beginners and those with some coding knowledge.

We focus on practical learning, making coding fun and easy to understand. Whether you are looking to become a web developer, launch your personal site, or simply learn a valuable new skill, this course is your starting point.

Who this course is for:

  • Mtu yoyote mwenye nia ya kujifunza jinsi ya kutengeneza website kwa urahisi
  • Mtu yoyote mwenye nia ya kujifunza kitu kipya
  • Wanafunzi wa kompyuta na IT
  • Vijana wenye lengo la kuongeza ujuzi